Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30).
Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...