polisi na madai ya uvunjaji sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 IGP Wambura: Polisi tumejipanga vizuri kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akizungumza katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, IGP Wambura alieleza kuwa uchaguzi wa...
  2. Mystery

    Kwa tuhuma zinazoendelea hivi sasa nchini, ni lazima Jeshi la Polisi likawa na "overseer" mwenzake Ili mambo yaende sawa

    Kwa hali inayoendelea hivi sasa nchini, Kwa tuhuma za matukio kadhaa ya uvunjifu wa sheria, madai ya kupotezwa Kwa watu kadhaa, na kudaiwa kuuawa Kwa raia wasio na hatia. Matukio yote haya, yanadaiwa kuhusishwa na Jeshi letu la Polisi, kuwa ndiyo watekelazaji wakubwa, Kwa hiyo inalazimu hivi...
Back
Top Bottom