Tuna changamoto kubwa sana ya uwajibikaji binafsi mpaka mtu awajibishwe na ikifika hatua hiyo inakua kwa aibu sana.
Baadhi ya Polisi Tanzania ni genge la watekaji na wauaji na wanajua kwa sababu wanayaratibu wao wenyewe. Huku Rais anahubiri zile 4R sijui labda akitoka kuhubiri jukwaani behind...