polisi na utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  2. Cute Wife

    Waliomteka Tarimo (akina Benki) wamerudi uraiani dhamana yao imepita kimyakimya, kesi kuendelea Januari 9, 2025

    Wakuu, Kama mnavyojua watuhumiwa wa tukio la utekaji wa Talimo kule Kilivya, Benki na wenzake 5 walikamatwa Disemba 4 na kufikishwa mahakamani Disemba 6. Ikumbukwe kuwa dhamana yao ilikuwa wazi kwa masharati ya kulipa Bondi ya Shilingi Milioni 10 na wadhamini wawili kwa Kila mmoja, pamoja na...
  3. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao...
  4. mwanamwana

    Dar: Vijana wanne wadaiwa kutekwa wakiwa kwenye party Juni 20, 2024, hawajulikani walipo mpaka sasa

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
Back
Top Bottom