Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Septemba 12, 2024 Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo ameitwa na Ofisa Upelelezi...