Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni mwizi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Jumatatu Machi 10,2025, Kamanda wa Polisi...