Leo nimepita Mahali fulani nikasikia Gari la matangazo la jeshi la polisi likihamasisha wananchi kujitokeza uwanjani kushiriki michezo na kukaa pamoja kufichua uharifu na mambo mengine.
Nacho shangaa juzi tu polisi waliwatisha wananchi wasiandamane kupeleka kilio chao cha masahibu ya kutekwa...