polisi wakamata wakulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    DOKEZO Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
Back
Top Bottom