Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.
Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa...
Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam.
Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na kuuawa, akiwemo...
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.