Habari JF ,
Kwa kuangalia muundo wa Katiba ya sasa na mapungufu yake , Rais akiwa pia Mwenyekiti wa CCM ambayo ni chama tawala , akiwa na mamlaka mbalimbali ya kikatiba na kiutendaji, hoja inajitokeza: je, mfumo huu hauleti hali ya “Total Political Dominance”?
Unapounganisha mamlaka ya Rais...