Waziri wa Ulinzi Aden Duale Jumatano, Mei 29, alifichua sera mpya ambapo wanasiasa wote wamepigwa marufuku kutumia mali ya jeshi ikiwemo helikopta za Kenya Defence Forces (KDF) kwa shughuli zao za kisiasa.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Citizen TV, Duale alibainisha kuwa mali za Kenya...