Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato...