pombe kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  2. Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

    Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
  3. M

    Lengo lilikuwa nini mje kunikumbusha hapa

    Lengo la kuondowa pombe za kwenye vifungshio vya plastiki kama zed,double punch na konyaji lilikuwa nini na mkaleta master,na vingine vikali lengi nini?
  4. Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  5. Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

    Wasaalam!!!! Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali... Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui...
  6. Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

    Habari zenu ndugu zangu, Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa. Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...
  7. M

    Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  8. Dk.Nuruel: "Sio kila mtu anafaa kunywa hata glasi moja ya Pombe

    "Sio kila mtu anafaa kunywa hata glasi moja ya Pombe"-Dk.Nuruel Kitomari - Bingwa wa Afya ya Akili na magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. Chanzo: itvtz Hakuna kitu nakichukia kama Pombe / Bia ila hakuna kitu nakipenda kama ule Ulevi mwingine Mtamu.
  9. Tunakataza viroba tunarudisha vipombe vya ajabu wanaachaje kunywa wamebadili package tu

    Nimeonaaa majuzi tbs wanaaswa kuhusu ongezeko la vijana kunywa pombe kupitiliza na kufa gafla. Shidaa sioo kunywa vijana wananyweshwa gongo virobaa kilichobadilika n package tu. Hii kitu niliwahi kuilaan haoaapa lile zoezi la kupiga marufuku viroba mchangawamacho unakuja. Imagine kina kampuni...
  10. Kumbe kuacha pombe inawezekanika

    Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi. Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya. Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
  11. I

    Vijana na ulevi

    Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
  12. Milioni 4 inatosha kufungua biashara ya grocery au duka la pombe kali?

    Hey, wapendwa 4M inatosha kufungua grocery? Kama inatosha je vitu gani muhimu? Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi? Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar. Ili niweze kufahamu...
  13. Kwanini pombe kali inalazwa tu na sio kusimamishwa?

    Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu mnaofahamu zaidi mtujuze
  14. Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  15. Kuna namna fulani pombe kali inachangiza na kuongeza muda zaidi wa tendo

    Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii. Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu ya kila siku Siko hapa kutoa ushuhuda kama kwa Mwamposa hapana bali imenitokea na ndio sababu...
  16. SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  17. Pombe kali inachelewesha kufika kileleni?

    Pombe kali inachelewesha kufika kileleni?
  18. Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  19. Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  20. Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…