pombe ya mnazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watalaam tufanye tafiti ni vipi tunaweza kuiongezea thamani kinywaji cha mnazi (tembo)

    Kwa wasioijua pombe ya mnazi ni pombe asilia 100% toka mbinguni yaani inagemwa toka katika mnazi inadondokea kama vile zao la mpira matone matone ni kinywaji changu niwe mkweli kwa hapa Lindi kuna mzungu mmoja alikujaga akawa kila siku anawekewa order ya lita tano. Katika kuifuatilia nikajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…