Pombe za Kienyeji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ambavyo vimesaidia familia nyingi za 'Nshomile' kupata elimu, leo hii wapo maprofesa, Daktari, Injinia, Walimu na Wafanyabiashara ambao misingi yao ya kuinuka umetokana pombe hizo.
Kwa jamii ya Wanakagera kulingana na mila na tamaduni...