Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania katika mambo mbalimbali ikiemo uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na ukuaji wa Uchumi kupitia ujenzi wa...