Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?
Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili wale sikio la kufa wajifunze kuacha ubishi.
Pia Soma...
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...
Habari zenu wakuu,
Nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii nimekutana na kitu inaitwa WAKALA ONLINE. Kama ujuavyo baadhi ya watanzania wanapenda pesa za mteremko yaani wapate pesa bila kushughulika. Pia kupenda njia za mikato, hapa wajinga wengi watapigwa na kitu kizito.
Hii kitu kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Yaleyale ya ile kampuni ya QNET
Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka sehemu mbalimbali kwa ajiri ya kuwapa mafunzo na kuwapatia ajira huku wakiwatoza vijana hao pesa...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing.
Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
Ponzi scheme ni utapeli ambao ulianzia nchi za ughaibuni na ukapigwa marufuku huko lakini cha ajabu ni kwamba utapeli huu umekuwa unapendwa na watanzania wengi licha ya kuwaliza na kuwaacha na maumivu Makali lakini ponzi scheme ni mpenzi wa kudumu kwa watanzania ni mpenzi anae wa danganya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.