Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye point, niko Mkuranga nahitaji Pool table, mwenye ufahamu ni wapi naweza pata na gharama zake nitashukuru mno.
Nawasilisha nikiambatanisha na shukran.
Habarii wadauu natumaini mko poa.
Nimeandika kwa haraka ila nita edit baadae.
Hivi karibuni kuna mtu aliniulizaa kuhusu biashara ya pool table akaanza kunielezea ila kiukwelii nilikuwa sijuii kiundani.
Ila ningependa kujua jinsi pool table inaweza fanya ukaishi kwa faida.
Bei? Bei ya...
Habari zenu wadau,
Nataka kuanzisha biashara ya pool table wenye experience na hii biashara njooni tujuzane faida na hasara zake na upatikanaji wake hapa mwanza.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.