Habari wana jukwaa, tujadili kuhusu hili...
kama una wazazi wawili, utakuwa na 4 grandparents, 8 great grandparents ect.....
Katika generation 20, utakuwa na mababu na mabibi 1,000,000. Kila generation namba zinakuwa doubled.
Rudi nyuma generation 30, utagundua kwamba ulikuwa na grandparents...