1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa na changamoto.
2. Kuna Watumishi wapatoa 6 hawafanyi majukumu yoyote ya Doria bila sababu za msingi...