Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini.
Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed Kibao.
Hili pori liko pembeni ya barabara inayotumiwa na Viongozi wengi sana akiwemo Waziri nyeti kabisa...