Pori tengefu la Msomera mkoani Tanga limefutwa rasmi na Serikali na sasa litapangiwa matumizi mengine ikiwemo kuwapa wamasai wanaohamishiwa kutoka Mbugani ambako wamefurushwa ili kumpisha mwarabu ajenge mahoteli.
Kinachoshangaza zaidi ni watu waliojitanabaisha kuwa ni watetezi wa mazingira...