Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection".
Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos.
Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha lakini nashindwa, nina miaka kama minne sasa naangalia karibia kila siku.
Naombeni ushauri nifanyaje...
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri...
`Kuna mtu hapa Jamii Forum alielezea kisa chake na kwamba anaweza kujifungia ndani akiangalia video za ngono huku akipiga punyeto kwa masaa hata 12. Kuna watu walifikiri hii ni “chai” (uongo) lakini watu wanapata sana hizi shida ila hawawezi kuongea kwa kuwa ni aibu kwenye jamii. Unaweza kukuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.