Ni bonge la mechi pale London.
Arsenal (tembo) atashuka dimbani katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora akijaribu kusaka matokeo dhidi ya Porto.
Mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 1-0 pale Estadio Dragao.
Je, Arsenal atapindua meza? Tukutane saa 5:00 usiku kwa live updates…
Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei 2021.
"Pep na timu nzima wamekua na msimu mzuri kabisa na wao kufika kwenye fainali ya UEFA hasa...
Na muafaka wafikiwa, fainali ya bingwa wa ulaya (UEFA Champions League) itachezwa jijini PORTO uko Ureno mnamo tarehe 29 may 2021.
Jiji la ISTANBUL, Uturuki ndo mwanzo lilikua limepewa nafasi hii ila kulingana na changamoto ya ugonjwa wa COVID 19 imelazimika kuhamisha mashindano hayo kuepusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.