posho za interns

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO TAESA kumekuwa na usumbufu mkubwa kwenye malipo ya posho za interns

    Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli. Tunaomba watuonee huruma tunajitolea ili kupata uzoefu wa kazi tunashindwa kuendelea na kazi kwa sababu ya kukosa...
Back
Top Bottom