"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.