Hii hoja isipuuzwe hata kidogo posho za madaraka wanazolipwa Hawa viongozi hazina maana yoyote ile. Mkuu wa shule na Mwalimu mkuu Huwa hawana vipindi vyovyote shuleni. Muda wote ni kutanga na njia na kusimamia maendeleo ya shule husika.
Kwa kuwa Sheria ya utumishi inataka wazi malipo yalipwe...
Naomba TAMISEMI iangalie posho za kujikimu Kada ya Ualimu Mwaka 2019 Makete hatukupewa fedha hizo. Kila tukiuliza tunaambiwa Serikali bado haijaleta fedha hizo ilihali wilaya nyingine walilipwa Mwaka huohuo 2019.
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.