Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni malipo ya chai, kwa maelezo kuwa yatakuwa mafunzo ya siku mbili, hivyo kila mmoja atalipwa Tsh...