Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua.
Akitokea mmoja hajalipa na kaacha kutumia laini mnahukumiwa nyote, is not fair na inakera sana mpka tunafkiria kuhama mtandao wao.