postcodes

  1. Memento

    Jiji la Dodoma kuwaomba wafanyabiashara kuchangia pesa kwa ajili ya anuani za makazi (postcode) haijakaa sawa

    Raisi Samia Samia amewahi kutueleza pale tunapoona Serikali imekosea basi tuikosoe kwa staha na tushauri nini kifanyike. Hivyo kwa staha naomba kuishauri Serikali juu ya hili ombi kwa wafanyabiashara kuchangia pesa kwa ajili ya anuani za makazi(postcode). Sasa hivi Hali iliyopo inaonekana wazi...
  2. Candela

    Postcode na Utata wake

    Wanasema shamba la bibi hauhitaji ruhusa kuvuna. Leo nimepokea ujumbe wa SMS kuhusu postcode, ikinitaka kubonyeza *152*00# ili kuona posti kodi yangu. Ajabu ni kuwa postcode hii ni sawa na iliyotumika katika NIDA, najiuliza kwa serikali itumie pesa kufanya jambo ambalo tayari lipo katika mfumo...
  3. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile: Tutaweka mazingira wezeshi ya biashara za mtandaoni

    Katika Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Fausine Ndugulile amesema watahakikisha maeneo yote yanakuwa yanatambulika kwa PostCodes Pia itawezesha suala la Posta Kiganjani ili mtu asiwe anaenda posta kufuata barua bali zimfuate...
Back
Top Bottom