Wanasema shamba la bibi hauhitaji ruhusa kuvuna.
Leo nimepokea ujumbe wa SMS kuhusu postcode, ikinitaka kubonyeza *152*00# ili kuona posti kodi yangu. Ajabu ni kuwa postcode hii ni sawa na iliyotumika katika NIDA, najiuliza kwa serikali itumie pesa kufanya jambo ambalo tayari lipo katika mfumo...