Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .
Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni...