====
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na utafiti kwenye mradi au miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali wafike ofisini...