Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP siyo mpango wa kupeleka fedha nyingi kwenye miradi bila uangalizi, bali ni njia ya kuimarisha...
Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa.
Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia?
Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni,
TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa.
Mkurugenzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.