ppp na ubia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kafulila asipodhibitiwa ataudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa Ushirikiano Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi

    Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP siyo mpango wa kupeleka fedha nyingi kwenye miradi bila uangalizi, bali ni njia ya kuimarisha...
  2. PPP ni lini mtaziendesha kwa Ubia hizi ATCL na TTCL?

    Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa. Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia? Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6
  3. Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa. Mkurugenzi huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…