... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.
Makosa hayo ya mwanzo...
Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi Ulaya Ulaya.
Wanaogopana mbona wenziwe huko utasikia City anakichapa na Barca, mara Chelsea vs Man...
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.
Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.
Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.
Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana
Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha
Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko...
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu...
Klabu ya Simba ambayo ipo nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya 2024/25, leo Julai 14, 2024 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tersana FC inayoshiriki ligi daraja la pili Misri na kuambulia kichapo cha goli 6-2.
Mchezo huo ambao ulikuwa na lengo la kujaribu kikosi chao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.