Watu wa Soka,
Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season).
Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused.
Timu itaweka...