Habari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya...