press conference

A press conference or news conference is a media event in which newsmakers invite journalists to hear them speak and, most often, ask questions. A joint press conference instead is held between two or more talking sides.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    Njia pekee ya kuwatisha CCM ni kwa maandamano na sio vinginevyo, sio kwa maneno makari wala Press conference, Keybord worriors tusidanganyane

    Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana. Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na...
  2. 1

    Donald Trump: Naelewa kwanini Russia ilitumia nguvu kuingia Ukraine. Biden alivunja mkataba uliokuwepo kati ya Marekani na Urusi

    Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine 1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO 2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni kwa kiasi gani jeshi la Marekani lingejitanua 3. "Moscow imekuwa ikisema mara kwa mara, hata kabla...
  3. Cannabis

    John Heche aitisha press conference tarehe 05/01/2025

    John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi. Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X. Soma zaidi...
  4. Don Gorgon

    Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  5. Pascal Mayalla

    LGE2024 Preemptive Move Kuisaidia Chadema Ahead of Press Conference ya Mwenyekiti Mbowe Leo, Chadema Wasifanye Kosa la Kurudia Kosa Kususia Uchaguzi wa SM

    Wanabodi, leo kuna press conference muhimu ya Chadema。 hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。...
  6. Yoda

    Waandishi wa habari wa Dar wanavyoitwa kwenye press mkoani nani huwa analipia gharama zao?

    Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference yake?
  7. D

    Makonda si ungesema umeandaa press conference ya kujijenga kisiasa?

    Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha. Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda. Hakika ungesema uko kwenye kampeni za...
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  9. M24 Headquarters-Kigali

    Press Conference ya Dotto Magari - Serena Hotel, Ijumaa saa 5 asubuhi

    Mfanyabiashara maarufu wa magari nchini, Ndugu Dotto Magari anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia na kufafanua masuala ya kitaifa na Kimataifa. Wote mnakaribishwa.
  10. J

    Press conference za mzee Butiku na Dr. Nchimbi, nani ana busara?

    Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini 2010-2015. Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati DAUDI MWANGOSI...
  11. Stephano Mgendanyi

    Ludewa Press Conference - Miaka Mitatu ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan- Wilayani Ludewa. Mheshimiwa Rais ameendelea kuonekana katika...
  12. Mjanja M1

    TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

    Inaweza ikawa sio jambo la kushangaza kwa nchi yetu, lakini ni kwanini kwenye mambo ya maana hawahudhurii mf. Mikutano ya Siasa na maandamano ya vyama vya upenzani, n.k? TELEVISION YA TAIFA MNAFELI PAKUBWA SANA!
  13. R

    Vipo wapi vyombo vya habari vya Tanzania kwenye Press conference ya Mbowe? Ishukuriwe mitandao ya kijamii

    Hadi waigizaji na wanamziki wanaajiriwa na kulipwa fedha nzuri na wamiliki wa vyombo vya habari ni kwa sababu waliosomea hii kazi wameacha taaluma na kuishi kwa kuambiwa na kufikirishwa. Leo hii waandishi wa habari wanalipwa elfu 30 hadi 50 na hii ni kwa mujibu wa RC Mara.Kinyume na hapo hawaji...
  14. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
  15. Sildenafil Citrate

    Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  16. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate kesho atakuwa na press conference

    OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE PRESS CONFERENCE Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE ' MUDA: Saa 5 Asubuhi. MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA
  17. Escrowseal1

    Binafsi press conference ya Zuhura Yunusu sijaiekewa, alielewa anifafanulie mambo haya matatu

    1. Mikataba 15 iliyosainiwa na serikali haikutajwa.kuna haja gani kuita press conference ukashindwa kuainisha mikataba. Kama kuna alieielewa anisaidie humu Mh Waziri wetu wa fedha ameulizwa zaidi ya parachichi na mabondo ni bidhaa gani zaidi zimeruhusiwa. Jibu akasema ni bidhaa za majini kama...
  18. Vawulence

    Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  19. K

    Press Conference ya Mwigulu ilikuwa ni ya kimkakati

    Nawasalimu sana wakuu, Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya...
  20. The Sheriff

    Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
Back
Top Bottom