Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari.
Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...