Mzuka wanajamvi,
Hizi picha ndio za mwisho Boss wa Wagner kupigwa huko Bangui Central Africa Republic na baadaye siku chache kuuawa.
Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi.
(1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin.
(2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege.
Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi usiokuwa na maana.
Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, amesema shutuma dhidi ya Nchi yake hazina...
Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo.
Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9.
Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
"Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu.
Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Urusi kuzimwa.
Katika video iliyomuonesha akisalimiana na askari wake...
Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi.
Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko kulipotokea uvumi wa kutoonekana kwa Prigozhin nchini mwake aliitisha mkutano na waandishi wa habari...
Huyu ni mfungwa wa Zamani, aliyekaa Jela kwa miaka 9 kuanzaia miaka ya 1980,s mpaka miaka ya 1990 alipoachiwa kutokana na purukushani za kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Bwana Prigozhin alizaliwa...
Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.
Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".
Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO zilizo karibu na Belarus.
Malalamiko hayo yamezungimzwa na marais wa...
Raisi wa Belarus anasema:
"Nilikuwa nikijaribu kumshawishi [Prigozhin] kwa muda mrefu. Mwishowe nilisema: 'Unajua, unaweza kufanya chochote unachotaka. Lakini usinichukie (kwa nitakacho kifanya ).
Kikosi kimetayarishwa kwa ajili ya kupelekwa Moscow tutaitetea Moscow kama tulivyoifanya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.