Prince Mpumelelo Dube (born 17 February 1997) is a Zimbabwean professional footballer, who most recently played forward for Tanzanian Premier League club Azam and the Zimbabwe national team.
Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii.
Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi.
Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo.
Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na...
Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao.
So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant
Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja kwakisingizio unajoto sana
Sasa wamehamia uwanja wa KMC hata kabla hawajacheza mechi hata moja,wameshapora...
Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis,
Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500
Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki.
Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana...
Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana, tumsifu Yesu kristo, Mwanakondoo ameshinda , Asalaam aleykum....
Sina maneno mengi ila Prince Dube kuanza kufumania nyavu Leo katika mechi ambayo watoto wa jangwani watapata ushindi wa kuanzia mabao manne na kuendelea.
Sasa tuache ubishi wa kizalamo ...
Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani.
Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM...
Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga.
Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa.
Wakati Ateba kaja juzi ni mashine na gumzo la nchi.
Tunaanza kumjadili saa ngapi huyu Dube kama garasa pale Jangwani?
Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke
Huyu bwana haamini katika mpira hajui mpira wa Sasa ni sayansi. Yaani ligi imechezwa mechi 1 na mechi 2 za CAF jamaa...
Mshambuliaji wa timu ya Yanga SC Mgadafiprince ametoa shukrani kwa uongozi wa timu oamoja na mashabiki wa yanga kwa kumpa sapoti tangu kujiunga kwake na timu hiyo, aidha mshambuliaji huyo amewaahidi wanayanga kuwafanyia makubwa kwenye michezo inayofuata ya kitaifa na kimataifa baada ya kupata...
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹
🗓️ 04 Misimu
⚽️ 34 Mabao
Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi
My Take
Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.
Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.
Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa...
Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu Dube kujiunga na Yanga lakini pia Simba.
Mimi naomba nishare nanyi kidogo kwa kile ninachokiona...
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.
Wadau wa Soka hapo vipi?
====
Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
TAARIFA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.
Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Tunamtakia...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali.
Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe.
Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan.
Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa.
Aidha, Azam FC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.