Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini(ccm),Priscus Tarimo amelaani tukio la kada wa chama hicho ,Idrisa Moses Makishe(38),kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindika.
Makishe kada wa ccm ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa kwa viongozi wa ccm ambao wamekuwa hawaendani na falsafa ya chama...