Habari za jioni wanajamii hatimae siku ya jana nimefanikiwa kumaliza kutizama prison break season 4 nipo tayari kwa ajili ya season 5 kwa dondoo za hapa na pale nimeona ndugu yetu michael na linc wanajikuta gerezani tena
Kwa ambao mlishatafuna tayari season zote 5 karibuni mtuhadithie yanayojiri...
Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine.
Nimekaa nyumbani kwake Humburg.
Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi.
Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv
Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.
Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha.
Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga...
Bassirou Diomaye Faye was elected as Senegal's fifth president on 25 March 2024. Incumbent president Macky Sall and his candidate, former prime minister Amadou Ba, were both quick to congratulate the opposition candidate on his victory when the results came out.
This has been a major - and fast...
Mfungwa wa dawa za kulevya ambaye alikamatwa baada ya kujaribu kutoroka gerezani akiwa amevalia nguo za kike amefariki dunia. Alikamatwa Jumamosi iliyopita nchini Brazil akiwa amevaa kinyago chenye sura ya kike, wigi pamoja na nguo za kike zilizomfanya aonekane kama binti wa miaka 19.
Prison...
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy...
Catalonia's top court on Thursday found former Barcelona /Brazil footballer Dani Alves guilty of sexual assaulting a women in a Barcelona nightclub in 2022.
Sentencing him to four and a half year in prison, the court also ordered that Alves pay 150,000 euroes to the victim.
Mwanasoka wa italia amefungwa jela kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumuua aliyewahi kuwa moenzi wake Alessandra Mateuzzi mwenye miaka 56.
Giovani Podovani 28 ambaye alikuwa beki wa kati wa club ya ni Sancataldese alimuua mpenzi wake huyo wa zamani kwa kumpiga na...
Kumekucha tena,
Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya.
Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki.
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023
Updates.
Mchezo umenza
12' Tanzania Prisons Wanaongoza...
Beirut– Prison conditions in Lebanon have dangerously deteriorated amid the country’s economic crisis, Human Rights Watch said today. Overcrowding has become the norm, health care is subpar, and the government’s failure to pay outstanding bills has endangered the food supply for the country’s...
Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala.
Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile...
Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana.
Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki.
Yanga wakijua...
Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ???
Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in the capital Porto-Novo, following a brief trial that her lawyers condemned as a "political attack"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.