Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya Mamelodi.
Baada ya kugundua makosa, Priva aliifuta picha yenye mashabiki wa Simba na kuweka Picha yenye...
Jamani hivi ni wehu au ushamba wa haya ma dude ya rangirangi unaweza kuyatumia saa kumi jioni yakaleta impact? Yataakisi vipi sasa? Mwishowe sasa mtasema hadi tochi za simu zitawashwa!
Meneja wa kitengo wa timu unapotezea tu watu hela zao, wayanunue waje wayawashe washindane na mwanga wa jua...
Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea?
Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha
Anyway labda ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.