private jet

A business jet, private jet, or bizjet is a jet aircraft designed for transporting small groups of people. Business jets may be adapted for other roles, such as the evacuation of casualties or express parcel deliveries, and some are used by public bodies, government officials or the armed forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Usiamini mitandao: Private Jet ile ilikuwa ya mchongo!

    Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana. Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni wabongo, mnachezewa akili. Tafuteni pesa, epuken kushobokea watu msiowajua
  2. Mke wa GSM amemzawadia mume wake bonge la msikiti na private jet

    Tutafute pesa aisee dunia haina huruma kwa mtu masikini hii yaani daa na tuangalie familia tunazo oa aisee wewe unaenda kuoa familia ya mwanamke ambaye kwao ni mkombozi wa familia kwamba siku wakiishiwa chakula au ada simu moja kwako unafikiri utatoboa hapo? Familia ya mkeo kutwa wakipishana...
  3. Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

    Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
  4. Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

    Boss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake
  5. Diamond: Tayari nimeshanunua ndege binafsi (private jet)

    Star wa muziki kutoka Tandale haishiwi surprises, kutoka Tandale mpaka kumiliki ndinga za maana kama Rolls royce, escalede mbili na gari yake yenye hadhi ya chini ikiwa ni v8 hizi za mawaziri na wabunge sasa kaja na jipya lengine ambalo kama ni kweli basi si kwamba kapiga hatua bali kachana...
  6. Sh13.7 million private jet trip to Kenya

    Sh13.7 million private jet trip to Kenya FRIDAY AUGUST 27 2021 Tourism Secretary Najib Balala (left) with guests at the Maasai Mara. PHOTO | POOL The super-wealthy are seeking new travel experiences in Maasai Mara, Laikipia and Samburu, following an Emirates private jet deal, a trend that is...
  7. Nani amemkwamisha Tajiri Diamond kununua private jet?

    Wana jamvi wasalaam! Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo! Wengi walisema ni kiki na ikumbukwe kuwa kipindi zinatoka habari hizi ni kipindi ambacho Msanii Harmonize alikuwa ametoa wimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…