Producers wengi Tanzania tumekuwa tukitumiwa na baadhi ya wasanii kama daraja la mafanikio yao na kisha kutupaka matope au kuuambia umma kuwa sisi ndio tumewakosea sana na tunawanyonya. Laiti kama wasanii hao wangekuwa wanaeleza angalau mazuri wanayofanyiwa na producers. Kwa bahati mbaya sifa...