prof. anna tibaijuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  2. R

    Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

    Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki! Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao...
  3. P

    Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

    Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani. Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa...
  4. T

    Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

    Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu. Amesema kiashiria...
  5. Bromensa

    Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  6. J

    Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

    Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi...
  7. Mnada wa Mhunze

    Prof. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?

    Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa! Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia. Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine? Pia soma Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu...
  8. mheshimiwamtemi

    Prof. Anna Tibaijuka: Waandishi walipewa pesa ili kunichafua, sijawahi kutamka "pesa ya mboga"

    Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue. Chanzo: Star TV
Back
Top Bottom