Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela.
Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...