prof. assad

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

    Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika. Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof...
  2. S

    Luhaga Mpina na Prof. Assad ni wanasiasa wanaoongoza Tanzania kwa kuumia kuondolewa vyeo walivyokuwa navyo

    Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia sana kuondolewa uwaziri na Prof.Assad kuondolewa u CAG Wataalamu wa saikolojia wasaidieni wajue...
  3. Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

    Wakati akihojiwa na Salim Kikeke, Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva. Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili. Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio...
  4. Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  5. A

    Prof. Assad: Wanaotaka viongozi wakubwa waongezewe madaraka ni 'mazuzu'

    Huyu hapa Prof wa ukweli PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa kuzungumza ukweli kwa maslahi ya Taifa kushindwa kufanya hivyo. CAG huyo wa zamani amesema hayo leo Jumatano, tarehe 6 Oktoba 2021...
  6. Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

    Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake...
  7. Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  8. Hukumu ya Assad, ili RichMond Mpya iingize mtambo Kimyakimya!

    Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati. Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.! Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge? Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini? Tuliambiwa Tatizo ni service ya...
  9. Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
  10. Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  11. Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  12. Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana. Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi...
  13. Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki. Hili suala la kuniita CAG...
  14. Mashujaa katika Serikali ya Awamu ya Tano waliokataa kuwa watumwa na vibaraka

    Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ". Katika awamu ya...
  15. O

    Ya Dr. Mwele Malecela na Prof. Mussa Assad

    Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela. Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…